Tanzania 1
Senior Member
- Oct 4, 2007
- 197
- 25
Nimei-format hard disk yangu, lkn sasa inanionesha kuwa ina capacity ndogo mno! Some kilobytes badala ya 40GB!! Yaani, siwezi kuingiza hata program moja!
Nifanye nini kui-restore ktk capacity yake? Au inamaanisha kuwa HD hiyo haiwezi kufanya kazi tena?
Natanguliza shukran zangu.
T-1
..kama unaweza kukumbuka, elezea step by step ulichofanya mpaka ukajikuta hapo.
..halafu toa specifications za hiyo pc yako pamoja na os yake. au unaongelea external hd?
..
Nimei-format hard disk yangu, lkn sasa inanionesha kuwa ina capacity ndogo mno! Some kilobytes badala ya 40GB!! Yaani, siwezi kuingiza hata program moja!
Nifanye nini kui-restore ktk capacity yake? Au inamaanisha kuwa HD hiyo haiwezi kufanya kazi tena?
Natanguliza shukran zangu.
T-1
Tumia Partition magic itakuonyesha Raw ambayo imejificha then uta i-format na ku-resize hiyo partition mpaka utakavyo penda not beyond 40gb.