Naomba msaada wenu

Naomba msaada wenu

shegaboy

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
213
Reaction score
34
Mimi nina matatizo yameanza kama miezi sita hivi sasa na nimekuwa nashindwa kuelewa nini tatizo hasa. Kila ninapokula chakula huwa nasikia hali ya kutapika kama kichefuchefu hasa ninapo kutana na mafuta flani sija jua nini hasa tatizo. naomba mnisaidie nini kina nisumbua mara nikiacha hicho chakula nikikaa baadae hali hiyo inapotea inaweza kuja tena baada ya siku labda tatu au nne baadae
 
jinsia tafadhali, ili tusije toa ushauri kumbe tunakutusi mtoa mada.
 
Back
Top Bottom