cha ajabu mwishoni mwa mwaka jana alinitumia ujumbe kuwa umegundua kuwa sina mapenzi ya dhati kwake kwa hiyo amempata anayempenda kwa dhati
Ni kwa mara ya kwanza najitokeza katika ukurasa huu wadau naomba msaada wenu wa mawazo kwani nina rafiki ambaye tulipendana sana na tumedumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu lakini cha ajabu mwishoni mwa mwaka jana alinitumia ujumbe kuwa umegundua kuwa sina mapenzi ya dhati kwake kwa hiyo amempata anayempenda kwa dhati kiukweli nimemfia mbaya kila nikijitahidi kumsahau inakua ngumu.nifanyeje

Jinsia yako tafadhali, we mke au mume?