tafuta shule,ukipata omba barua ya uhakikisho wa nafasi na ya uhamisho, peleka wizarani wataidhinsha huo uhamisho na hapo utakuwa umemaliza lakini uwe mvumilivu wa njoo kesho njoo kesho ila ndani ya mwezi mambo yatakuwa safi bila hongo,bei ya boarding za sekondari hazijapanda bado ni TZS 70 ELFU,ila kwa private nyingi ni TZS 750+ELFU