Mrembo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 415 Reaction score 219 Apr 2, 2011 #1 habari zenu wakuu, Jamani naomba mwenye electronic copy of THE LAW OF A CHILD ACT 2009 anisaidie. nina shida nayo sana. asanteni
habari zenu wakuu, Jamani naomba mwenye electronic copy of THE LAW OF A CHILD ACT 2009 anisaidie. nina shida nayo sana. asanteni
denoo49 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 6,113 Reaction score 6,950 Apr 3, 2011 #2 Katafute kwenye majukwaa mengine kama haujui unacho kitafuta. Au wasiliana na TANESCO kwa maelezo zaidi. Here we may help yu on software!
Katafute kwenye majukwaa mengine kama haujui unacho kitafuta. Au wasiliana na TANESCO kwa maelezo zaidi. Here we may help yu on software!
U Upanga Senior Member Joined Jun 18, 2007 Posts 145 Reaction score 50 Apr 4, 2011 #3 Naomba ukipatiwa unipatie nami pia
Caren JF-Expert Member Joined Feb 12, 2010 Posts 278 Reaction score 91 Apr 5, 2011 #4 Umecheki kwenye website ya bunge ukakuta haipo? nenda www.parliament.go.tz. Ukikosa ni PM kesho nitakutumia. Sipo ofisini kwa sasa.
Umecheki kwenye website ya bunge ukakuta haipo? nenda www.parliament.go.tz. Ukikosa ni PM kesho nitakutumia. Sipo ofisini kwa sasa.
Obe JF-Expert Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,083 Reaction score 34,850 Apr 5, 2011 #5 denoo49 said: Katafute kwenye majukwaa mengine kama haujui unacho kitafuta. Au wasiliana na TANESCO kwa maelezo zaidi. Here we may help yu on software! Click to expand... hapo kwenye red sio software, nadhani ulitaka kumaanisha softcopy,! Jaribu kugoogle utaupata:A S-key:
denoo49 said: Katafute kwenye majukwaa mengine kama haujui unacho kitafuta. Au wasiliana na TANESCO kwa maelezo zaidi. Here we may help yu on software! Click to expand... hapo kwenye red sio software, nadhani ulitaka kumaanisha softcopy,! Jaribu kugoogle utaupata:A S-key: