Nilijaribu manjano lakini haikusaidia kitu....labda unielekeze ya mvuke coz ni kweli uso wangu unamafutakama unasumbuliwa na chunusi means ngozi yako ya uso ina mafuta sana sasa unavyopaka mafuta mengine huoni kama unajiongezea?? ulitakiwa usoni usiwe unapaka mafuta yoyote na uanze kutumia vipodozi vya asili kama manjano tango au mvuke...... wajuzi wataeleza vizuri lakini.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Wamasai wanatumia pia haya mwiliniHatari sana mafuta ya kupaka kwenye nyonyo za ng'ombe wewe ndo unapaka usoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu kishatumia ndio akakushauri?
jus google "how to steam your face at home"Nilijaribu manjano lakini haikusaidia kitu....labda unielekeze ya mvuke coz ni kweli uso wangu unamafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
hayo weka mbali na uso wako!tafuta products za garnier!za kuoshea uso...hasa yenye kiambata cha salyclic acid!hutajuta!..hazichhubui!siku 3 huna vyunusi!....au maji ya kuoshea uso yenye salyclic....
Like that???
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Sijaanza bado kuitumia... naogopa isije ikanikataa nikasababisha majangayap yap!
Chemsha maji then yaipue,jifunike na Nguo nzito like blanket then liinamie hilo sufuria mpaka u sweat. Ukimaliza then jifute kwa kitambaa safi na Salama. That's all I know about home steaming.Nilijaribu manjano lakini haikusaidia kitu....labda unielekeze ya mvuke coz ni kweli uso wangu unamafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaanza bado kuitumia... naogopa isije ikanikataa nikasababisha majanga
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
thank u so much kwa msaada maana nilikua nawaza jinsi ya kutype hayo yote...lolChemsha maji then yaipue,jifunike na Nguo nzito like blanket then liinamie hilo sufuria mpaka u sweat. Ukimaliza then jifute kwa kitambaa safi na Salama. That's all I know about home steaming.