Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Hua naletewa package ya bidhaa za Garnier from UK... sasa lotion na hands au feet cream na vinginezo natumia ila kwenye hayo maji ndio nimesita.... don know the price.sijajua km kuna fekelo!mie ninayo 3n 1 naitumia daily!umenunua sh ngap hyo
Hua naletewa package ya bidhaa za Garnier from UK... sasa lotion na hands au feet cream na vinginezo natumia ila kwenye hayo maji ndio nimesita.... don know the price.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
bas km dir frm uk hzo ni OG
Hemu jaribu kutumia fair and lovely nzuri ikikufaa mm nilitumia ikanifaaWapendwa habari za weekend,naomba msaada wa kiushauri....nina sumbuliwa Sanaa na rushes (vichunusu,vipele) usoni hivyo kupelekea kupaka mafuta ya nazi tu,mm sio mpenzi wa tube(cream) za kutoa rushes au sabuni....mafuta ya nazi yamenisadia japo kidogo. Sasa nikaona haya mafuta (ni ya kukamulia ng'ombe maziwa) nikawaza nikiyatumia usoni yatanisaidia na kuwa na ngozi soft kwani wamasai kama sijakosea ndo huwa wanatumia mafuta haya na kufanya kuwa na ngozi nyororo naView attachment 558935 yakuteleza.....naomba mwenye kujua haya mafuta anijuze na mm. Asanteni wote
Sent using Jamii Forums mobile app