Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chonde chonde kama ni huyo wa dar ndugu yangu tutakukosa...Hivi kwa mfano nikaona mkuu wa mkoa ana overtake barabarani sehemu ambayo hairuhusiwi nikapiga picha gari yake na kuirusha kwenye mtandao wa kijamii ni kosa kisheria
Haha!!field marshal yule,akae mbali kabisaChonde chonde kama ni huyo wa dar ndugu yangu tutakukosa...
Anaijua sheria hiyo shauri yako
[emoji87]Haha!!field marshal yule,akae mbali kabisa