Kuna jamaa yangu amekuwa rafiki wa karibu na binti ambaye ana asili ya Wameru! Urafiki wao hauna uhusiano wa kimapenzi, ila kutokana na ukaribu walionao anajisikia kuingia katika mapenzi na huyu binti, sasa ktk mazungumzo yetu alitaka kujua zaidi mabinti kutoka pande hizi huwa wakoje katika mahusiano na wana tabia zipi hasa ktk mahusiano... kama tujuavyo wa-bukoba, wa-kilimanjaro, wa- mbeya n.k. Mwenye kujua vzr hasa wanaoishi nao na waliowahi kuhusiana nao kimapenzi naomba msaada tafadhali..
Natanguliza shukrani!!
Kama litamkwaza mtu naomba alipotezeee, sina maana yeyote mbaya!!!
Hujanikera but nakushangaa ulivyolivalia njuga suala la rafikiyo. Mapenzi hayana urafiki wala ushauri hata tabia kama akikupendelea kukusiliza kwa dakika hata 2 juu ya hilo mueleze haya ajichunguze yy mwenyewe nn anapenda na asivyovipenda then a link na mwenzi wake kama wanacope at least by 60% Hiyo ni perfect couple kwani hizo 30 wanaweza kuadjust wakiwa pa 1 na 10 zinabaki katika natural difference ambayo ni inborn kwani hii ndo inafanya hata identical twins waliolelewa na kukua pamoja hawawezi kufanana kwa kila tabia na hulka nakaribisha mawazo
Kwani hao mnawajuaje? I mean wakoje hao? Pili kumbe kuna uniformity ya tabia za binadamu? Yaani kama unavyoweza kusema Mchele wa Kyela mtamu na pia binadamu inawezekana pia? Mh... Najifunza...
Pole sana kama wewe ni mmeru toa mawazo .... maana utabaki kusema crap! crap! mwishoe utajing'ata
Tabia wala haiusiani na kabila,mwambie rafiki yako awache kua nafikira za ajabu ajabu asituchoshe akili.