Kuna watu bado mnazungumzia makabila??? Aisee!!!!!!!!!!!!!!
Mie umenikwaza tena sana...................
Mwambie Akimaliza kuchunguza wameru, aende kwenye dini, akimaliza achunguze warefu, wafupi wanene wembamba akimaliza achunguze weupe weusi aendelee na uchunguzi wake ataelewa.......................
hapo kwenye RED samahani.. inahusiana tena mnoooo..... labda huyu msichana amekuwa adopted na wazazi wengine na sio wa kabila lake...
malezi atakayo yapata kuhusu mila & desturi atakua nayo na ndio itakuwa tabia yake !.... NDIO MAANA WATU WENYE BUSARA WALISEMA NI NGUMU KUBADILI TABIA YA MTU!
Maswali kama haya huwa hayakosi majibu tena ya uhakika mtu akienda kwa sangoma!!
Safi sana uzee dawa nimeamini
Ya kweli hayo Mkubwa?
Naomba jibu basi nami nijue.....Watoto wangu mimi (kabila Mmasai) na mama yao Msukuma, kwa sasa wanaishi na wadigo, wadengereko, Wazaramo, Wakurya, Wajita, Waha, Wanyambo, Wamakonde, Wangoni, Wahindi, Waarabu.....etc..etc...Na wameishi na wasichana wa kazi kutoka makabila kama 20 hivi!!
Hawa watakakuwa na tabia za kabila gani????
aahhahahahaa teh tehe teh mkuu hapo akishindwa ni kumshauri amwombe MUNGU sana (Ndicho nilichomwambia mwanzoni sasa sijui kama atafuata)
Hawa mkuu wanaitwa waswahili !!!! ila wangeishi Umasaini ingawa mama yao msukuma .. Yaani wangekuwa wamasai haswaa, tena hata huulizi
Sasa nisemeje ndugu yangu??
Ngoja nisubiri wanieleze kabila la watoto wangu na tabia zao!!
Siyo kabila mkuu ila ni signal ya makuzi!!!
ni kama wasio na dini tunawaita wapagani! Mtu ukimuuliza wewe dini gani anakujibu mpagani!! yaani yeye kokote sawa tu, na kabila ni hivyo hivyo
Na kama tabia zinategemea kabila...hawa waswahili wasio na mbele au nyuma tabia zao zinategemea nini?? Mtu atakeyataka kuoa kama huyo ndugu yako atawajuaje ili asije kuuvaa mkenge??
Kweli kuwa na mvi kunasaidia thanks
????????? one fuse is off !!!!!!
<br />If it was i would have been the one asking them silly questions...
<br />Ni kweli maharage ya mbeya hayafanani na ya Kilimanjaro ..... hivyo utofauti upo tuuuuu!!!
<br />Waswahili nalo ni kabila???