Naomba msaada

Naomba msaada

Crucifix

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2011
Posts
1,655
Reaction score
592
Nisaidieni tafsiri ya kiingereza kwa maneno haya

  1. kufuga nywele
  2. kibanio cha nywele (cha akina mama)
  3. nywele za kipilipili
  4. kipara
  5. mba (wa kichwani)
  6. kunyoa nywele kwa wembe
  7. kusuka nywele
Nitashukuru wadau, mtakuja kuyasoma kitabu kikikamilika
Asanteni
 
kusuka nimepata ni BRAID
haya, hayo mengine
 
kusuka - plaiting
nywele za kipilipili - afro hair (as distinguished from oily hair)
mba - dandruf
kunyoa nywele - ni shaving tu wether by machine or hand razzer
kufuga nywele - ... with long hair or ... with afro hair style
 
Back
Top Bottom