sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
Namtafuta rafiki yangu nimepotezana naye kama miaka miwili hivi na kwa bahati mbaya namfahamu huyo rafiki yangu kwa jina moja tu, sijui anapoishi ingawa yupo dar na alishawahi kunielekeza kwake kwamba unashuka kituo kinaitwa sayansi ila baada ya hapo nimesahau unaelekea wapi mana sikufanikiwa kwenda, na wala sijui anapofanyia kazi. please mwenye idea yoyote ya kumtafuta mtu kama huyu kwamba nifanyeje mana namba yake ya simu sina nilipoteza na nina shida naye ya muhimu kweli. je nikienda kwenye kampuni ya mtandao wa simu niliyokuwa natumia kipindi hicho wanaweza kunipa records ya namba zangu nilizokuwa nimesave kipindi hicho?please naombeni msaada wenu,
Ahsante.
Ahsante.