Naomba msaada

Naomba msaada

jobseeker

Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
69
Reaction score
7
Habari zenu wana JF,

Hii topic imezaliwa baada ya member mmoja kumpa ushauri member mwengine katika moja ya hot threads hapa. ushauri wenyewe ulikuwa ni kutafuta kazi za kusomesha katika business college.

msaada ninaoumba hapa ni wapi nitapata list ya business colleges? yupo yeyote anejua website za business college yeyote ile? kuna yeyote anaejua kama kuna college inayotafuta trainers wa IT/ICT?

shukrani
 
Back
Top Bottom