Naomba msaada

Joined
May 3, 2012
Posts
73
Reaction score
37
Kuna umuhimu wa mtu mwenye Div III 15 yaani EEES kwenda kusoma remedial SAUT kwasababu ana cut off points 3.5?
 
Unaeza enda na ukatuma maombi tcu kama kawaida
 
Yaelekea saut ndo kimbilio la waliofeli,maana kila mwenye matokeo mabovu anataka kwenda saut?
 
Kwani gs wanaihesabia kwenye cut-off points maana nimeona umeandika points 3.5 nijuzeni jamani
 
kwani gs wanaihesabia kwenye cut-off points maana nimeona umeandika points 3.5 nijuzeni jamani
hii general minimum requirement ya tcu kwa kozi zote wanazo fanyia admission lakini kila chuo na kila kozi ina admission requirement zake na cut -off point zake
general studies na divinity+ islamic knowledge hazihesabiwi kwenye ukokotoaji wa hizi point kwa hiyo kama wamesema cut-off point ni 3.5 kwa mfano comb kam pcm ina maana umepata eds=1+2+0.5=3.5
divinity+islamic knowledge inachukuliwa kwa wale wenye kwenda vyuo vya dini wanasoma mambo ya theolojia +elimu ya kiislam

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…