Naomba msaada.

Naomba msaada.

Kiba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
459
Reaction score
62
Habari yenu wanajamii .
Naombeni msaada wenu wale waliosoma open university .je kwa aliyemaliza kidato cha nne na kuchukua ECD Diploma anaweza kujiunga .sana sana kwa mkoa wa Mwanza b'se after siku mbili nakua mkoani Mwanza asanteni.
 
Back
Top Bottom