Kiba JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 459 Reaction score 62 Oct 30, 2012 #1 Habari yenu wanajamii . Naombeni msaada wenu wale waliosoma open university .je kwa aliyemaliza kidato cha nne na kuchukua ECD Diploma anaweza kujiunga .sana sana kwa mkoa wa Mwanza b'se after siku mbili nakua mkoani Mwanza asanteni.
Habari yenu wanajamii . Naombeni msaada wenu wale waliosoma open university .je kwa aliyemaliza kidato cha nne na kuchukua ECD Diploma anaweza kujiunga .sana sana kwa mkoa wa Mwanza b'se after siku mbili nakua mkoani Mwanza asanteni.