,Diabetes is a genetic disorder,kuna probability kwamba huwa diabetes inarun katika baadhi ya generation.Diabetes ipo ya aina tofauti na kila mojawapo ina treatment zake. Pia inaweza kuwa triggered,mostly na vyakula,vinywaji tunavyotumia.walio kwenye trend ya familia ya aina hii itakuwa kwao rahisi kupata,kuliko familia ambayo haina historia hiyo,i have seen it, in some people.Ila mtu yoyote anaweza kupata asipozingatia afya yake.
Diabetes is a chronic condition, and is for life.
huyo uncle inabidi amconsult doctor achekiwe ili apewe right medication.pombe,fancy food,sugars,fast foods, faty foods ni hatari kwa mgonjwa wa kisukari.