Habari zenu wanajukwaa,nawaomba madactari na wenye kufahamu hili;
1.ninapata maumivu makali upande wa kushoto na kulia mwa abdomen.
2.mkojo wa njano sana na unaharufu kali ikiambatana na kukojoa harakaharaka
3.nikiamka asubuhi kiuno kimekaza sana(siwezi kuinama na kuinuka harakaharaka)
4.nikifanya kazi ya kuinama mfano kufua,itabidi ninyanyuke taratibu sana
5.wakati mwingine mwili unakata
NB.NAMBA 1&2 NI SERIOUS SANA.
-maumivu na dalili zimeanza kuonekana kama miaka 4 iliyopita
-nimepima,wamenipiga xray na ultrasound wakaniambia hawaoni kama kuna tatizo,hata hivyo wakanipa madawa ambayo hata hayakunisaidi,wamenibadilishia sana madawa lkn hakuna mabadiliko.imefika wakati hata madawa nikaacha.
ASANTENI