Y Yasini_waziri Member Joined Dec 31, 2012 Posts 6 Reaction score 0 Mar 1, 2013 #1 Ndg zangu naombeni msaada nina mdogo wangu amepata tatzo la kuvuta hewa chafu ya dawa ya mbu baada ya kupata huduma icu AMEPATWA TATZO LA KUTO ONA KABISA MWENYE KUJUA DAWA ANISAIDIE TAFADHAR
Ndg zangu naombeni msaada nina mdogo wangu amepata tatzo la kuvuta hewa chafu ya dawa ya mbu baada ya kupata huduma icu AMEPATWA TATZO LA KUTO ONA KABISA MWENYE KUJUA DAWA ANISAIDIE TAFADHAR
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,133 Reaction score 12,361 Mar 1, 2013 #2 Pole sana mkuu, ngoja wataalam waje.