focus ngajimala
Member
- Jun 18, 2012
- 58
- 5
Naomba kujua juu ya hiki chuo GRACE Training Institute kipo mnazi mmoja ghorofa ya 5 artchitecture nataka kujua kama kinatambulika na Nacte. As well wizara ya afya kwasababu nimesikia wanatoa Pre clinical assistant and pre nursing..