Naomba kujua juu ya hiki chuo GRACE Training Institute kipo mnazi mmoja ghorofa ya 5 artchitecture nataka kujua kama kinatambulika na Nacte. As well wizara ya afya kwasababu nimesikia wanatoa Pre clinical assistant and pre nursing..

Mbona unatafuta vyuo ambavyo mwshowe itakuletea matatizo?? Kama ukuapply wizara ya afya tafuta vyuo vngne ata LUGALO wanatoa hzo course but kata K mafufuku ukifka kama n dem NO KIMINI