Naomba msaada

nako g

Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
32
Reaction score
4
ni mara ya 2 sasa tangu mwezi wa kumi mwaka huu kutokewa na tatizo la moyo kwenda mbio na kuishiwa nguvu mwili mzima wakati wa tendo la ndoa hasa napokua katka harakat za kufunga goli la pili. Nimeshindwa kuibua sababu ya hii....
 
POLE. Pata kahawa isiyo na sukari pia jitahidi uwe unakunywa maji ya moto. Tumia kitunguu maji pia kutafuna kibichi.
 
nimekupata kiongozi, ntaanza hiyo dozi nione kama kuna mabadiliko.
 
Nako g, pole kwa hilo tatizo.. Je umeshawahi kufanya check up ya moyo eg, ECG au ECHO? nashauri ni vizuri ukafanya vipimo hivyo, pia check sukari na presha utakapoenda hospitali....

Pole
 
Nako g, pole kwa hilo tatizo.. Je umeshawahi kufanya check up ya moyo eg, ECG au ECHO? nashauri ni vizuri ukafanya vipimo hivyo, pia check sukari na presha utakapoenda hospitali....

Pole

hapana sijawahi kufanya check up ya hivyo vitu, nashukuru kwa ushauri..
 
hapana sijawahi kufanya check up ya hivyo vitu, nashukuru kwa ushauri..

Kafanye check-up halafu uje utuambie majibu yanasemaje, unawezakuwa na dalili za shambulio la moyo, shinikizo la juu la damu au Pumu. Kunywa maji ya kutosha kila siku kuanzia glasi 8 mpaka lita 3 na nusu.
 
Ya wezekana ni shida ya upunguf wa damu au tatizo la moyo nenda ufanye uchunguz wa maeneo hao
 
POLE. Pata kahawa isiyo na sukari pia jitahidi uwe unakunywa maji ya moto. Tumia kitunguu maji pia kutafuna kibichi.

Mkubwa kahawa tena? hapo si ndio mapigo ya moyo yatazidi speed kiongozi? nako g japo mimi sio mtaalam ila nashauri kama wadau walivyopendekeza nenda kwanza kafanye checkup hospitali kisha watakushauri nini cha kufanya. Thanks
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…