mustafa New Member Joined Feb 12, 2014 Posts 2 Reaction score 0 Feb 23, 2014 #1 Naitaji kuanzisha biashara na ninamtaji wa sh 600,000. Lakini sijui nifanye biashara gani naombeni ushauri nifanye biashara gani Wadau wa JF
Naitaji kuanzisha biashara na ninamtaji wa sh 600,000. Lakini sijui nifanye biashara gani naombeni ushauri nifanye biashara gani Wadau wa JF
chongchung JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 13,277 Reaction score 40,924 Feb 23, 2014 #2 Fanya uchunguzi katika eneo unalotaka kufanyia biashara kwa kuifanyia uchunguzi bidhaa au huduma inayohitajika kwa kuangalia uhaba wake, thamani yake, umadhubuti wake(durability) upatikanaji au uzalishwaji wake idadi ya wateja .
Fanya uchunguzi katika eneo unalotaka kufanyia biashara kwa kuifanyia uchunguzi bidhaa au huduma inayohitajika kwa kuangalia uhaba wake, thamani yake, umadhubuti wake(durability) upatikanaji au uzalishwaji wake idadi ya wateja .
mwelase Member Joined Nov 18, 2013 Posts 84 Reaction score 22 Feb 28, 2014 #3 Iyo inatosha kwenye telex free...Kila week inarudi dola 50 ambapo ambapo ndani ya mwezi na nusu inakua isharudi then unaanza kula faida
Iyo inatosha kwenye telex free...Kila week inarudi dola 50 ambapo ambapo ndani ya mwezi na nusu inakua isharudi then unaanza kula faida
baldin Senior Member Joined Jan 2, 2012 Posts 185 Reaction score 41 Feb 28, 2014 #4 laki sita ni pesa nyingi sana na pia ni ndogo kutokana na aina ya biashara,mfano kwa mgahawa kwa sehemu kama vyuoni unaweza ukaanzisha kwa hiyo laki sita na ukafanikiwa,kuna saloon za kiume za kawaida unaweza ukaanzia...
laki sita ni pesa nyingi sana na pia ni ndogo kutokana na aina ya biashara,mfano kwa mgahawa kwa sehemu kama vyuoni unaweza ukaanzisha kwa hiyo laki sita na ukafanikiwa,kuna saloon za kiume za kawaida unaweza ukaanzia...