Nilimaliza advanced Diploma ya IT Arusha na nilibahatika kupata kazi kama computer operator sasa naomba msaada wenu natafuta mahali ninapoweza kufanya katika ujuzi wangu kwani naona unapotea.