Mtagwa lindi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 311
- 96
Nimeona maelekezo mengi kuhusu kutoa kitambi na unene naomba msada njia rahisi na yakisasa zaidi kupunguza unene na kutoa kitambi asante
DAWA YA KUPUNGUZA UNENE, MAFUTA, KILO NA TUMBO
Dawa ya kupunguza Unene, Mafuta,na Tumbo inaitwa FITOFORM PLUS+. Ukihitaji Wasiliana na mimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
Dawa ktibu tumbo la uzazi ninayo ukiwezamkuu na dawa ya kuounguza kuondoa tumbo la uzazi unayo?? na pia dawa ya kuondoa maumivu baada ya nyonga na mgongo baada ya kujifungua tafadhali inaoma msaada
dawa ya kupunguza unene, mafuta, kilo na tumbo
dawa ya kupunguza unene, mafuta,na tumbo inaitwa fitoform plus+. Ukihitaji wasiliana na mimi kwa kubonyeza hapa.mawasiliano
Mkuu ukiweza nitafute kwa wakati wakopole na kazi mkuu.hii dawa inatumiwa kwa siku ngapi,matokeo ni muda gani na ni kiasi gani ili tujiandae maana tumechoshwa na hiv vitambi na mazoezi mengine hayafanyi kazi kabisa