Naomba msahada hapa Sheria inasemaje

Mkulubilanga

Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
40
Reaction score
16
Mimi nilikuwa msimamizi wa mirathi katika mirathi hiyo kulikuwa na shamba kuna watu walinishitaki wakidai shamba ni lao waliuziwa hivyo nikafikishwa katika baraza la ardhi la wilaya kesi ilifanyika hapo kwa miaka 3 na ilipotolewa hukumu mimi nilishinda kesi nikadai mpaka ghalama za kesi nazo nikalipwa baada ya kesi kumalizimika na kushinda nikiwa kama msimamizi wa mirathi niligawa shamba kwa waliostahili kurithi baada ya kupata urithi wao kuna wengine waliuza wangine walijenga na kuna waliouziwa wakauza tena cha kushangaza nimeletewa tena wito wa mahakama eti Kuna mtu hilo shamba lilikuwa lake eti aliuziwa sasa nauliza mimi nitasimamaje kwenye kesi hiyo kwani shamba nilishaligawa kwa wausika Na kama hivyo sehemu nyingine zishauzwa zaidi ya mara 2 na wahusika wenyewe je kuna Sheria ya mimi kulizungumzia suala hilo tena wadau naombeni msahada kuhusu hili


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…