naomba msahada wa kisheria

BabaJonii

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
277
Reaction score
141
Habarini wana Jamii Forums,

Ni mara yangu ya kwanza kupost mada hapa jukwaani ingawaje nimekua member muda mrefu kidogo..Sasa ndugu zangu mm ni Mining Engineer, nafanya kazi katika moja ya migodi ya African Barrick Gold..Miezi sita iliyopita nlipata ajali na kuvunjika mkono wa kushoto, nlipata matibabu ya hali ya juu AMI Hospital dar es salaam,baada ya siku 14 nlirejea kazini na kuendelea kuchapa kazi..last month nlikua na appointment na Dr..akanipiga xray na kuonyesha kua mfupa unaunga vyema so niendelee na maisha kawaida ingawaje chuma(iron plate) walichotumia kuunga mfupa hakitaondolewa coz its risky..

maswali yangu ni haya..

1.Kampuni inatakiwa ini compasate kiasi gan cha fedha?
2.Kuna form za compensation natakiwa nikazijazie labour office mwanza, nn cha kuzingatia nikifika huko n procedures ni zipi?

Ntashukuru sana kwa mawazo yenu

ahsanteni
 
Jamani wanasheria mpoooooo!!!!

Au yeyote anayejua maswala ya workman Compensation?

Nisaidieni tafathali
 

Nakushauri ufatilie sheria za hapo ofisini kwenu, zinasemaje juu ya issue kama hii. Wasiliana na HR wako, hope atakupa maelekezo yanayofaa.
 
The Workers Compensation Act inasema ulipwe 70% ya mshahara wako unaopata kipindi hicho ulichoumia mpka hapo utakapo pona Sec. 46(1) lakini yawezekana kampuni yenu ikawa na incentives nyingine so ni vizuri kupata msaada wa HR Officer wenu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…