Naomba mshirika kwenye biashara ya nguo za watoto

Naomba mshirika kwenye biashara ya nguo za watoto

UBILUKO

Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
94
Reaction score
192
Hello JF members,

Mimi ni mwalimu na nina familia tayari hivyo kama mtu anataka kujipanua kibiashara huku mkoani nipo tayari kushirikiana naye Ili niwe msimamizi wake huku maana wife yupo kwa usimamizi maana hapa nilipo hakuna hio huduma.

Kama Kuna mfanyabiashara yupo tayari tunaweza tukafanya kazi pamoja.

Ahsante.
 
Nguo gani za watoto Mtumba au MPYA?
Na vp kuhusu soko?
Soko naamini ni uhakika sababu sehemu hii( kata nzima hamna nguo za watoto wanafuata mjini almost km 60 kutoka hapa)

Kuhusu aina za nguo wengi wanapenda mpya kwa sababu ya usalama wa watoto
 
Soko naamini ni uhakika sababu sehemu hii( kata nzima hamna nguo za watoto wanafuata mjini almost km 60 kutoka hapa)

Kuhusu aina za nguo wengi wanapenda mpya kwa sababu ya usalama wa watoto
OK sawa piga hesabu mtaji w kuanzia unaweza kua kiasi gani?
Piga na nauli kutoka hapo ulipo n Dar itakua bei gani?
 
Back
Top Bottom