Soko naamini ni uhakika sababu sehemu hii( kata nzima hamna nguo za watoto wanafuata mjini almost km 60 kutoka hapa)Nguo gani za watoto Mtumba au MPYA?
Na vp kuhusu soko?
OK sawa piga hesabu mtaji w kuanzia unaweza kua kiasi gani?Soko naamini ni uhakika sababu sehemu hii( kata nzima hamna nguo za watoto wanafuata mjini almost km 60 kutoka hapa)
Kuhusu aina za nguo wengi wanapenda mpya kwa sababu ya usalama wa watoto
Nakuja inbox kiongoziOK sawa piga hesabu mtaji w kuanzia unaweza kua kiasi gani?
Piga na nauli kutoka hapo ulipo n Dar itakua bei gani?