Sabi Sanda
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 409
- 31
Nitashukuru sana kama mtaitembelea hiyo tovuti (Philip Emeagwali - A Father of the Internet - Pioneer of the Supercomputer - Biography) kila wakati na pia naomba muisambaze kwa vijana wetu na Watanzania wenzetu kadri mtakavyoweza. Pia nitashukuru kupata maoni yenu kuhusu ubora wake na kama inawafaa Watanzania.