S Sabi Sanda JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 409 Reaction score 31 Jul 14, 2011 #1 Nitashukuru sana kama mtaitembelea hiyo tovuti (Philip Emeagwali - A Father of the Internet - Pioneer of the Supercomputer - Biography) kila wakati na pia naomba muisambaze kwa vijana wetu na Watanzania wenzetu kadri mtakavyoweza. Pia nitashukuru kupata maoni yenu kuhusu ubora wake na kama inawafaa Watanzania.
Nitashukuru sana kama mtaitembelea hiyo tovuti (Philip Emeagwali - A Father of the Internet - Pioneer of the Supercomputer - Biography) kila wakati na pia naomba muisambaze kwa vijana wetu na Watanzania wenzetu kadri mtakavyoweza. Pia nitashukuru kupata maoni yenu kuhusu ubora wake na kama inawafaa Watanzania.
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 Jul 17, 2011 #2 very interesting, never thought kama kuana watu wa aina hii africa