naomba mtu wa NECTA aje atoe huu utata

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060

[td="width: 6%"] s0443/0206
[/td]
[td="width: 4%"] m
[/td]
[td="width: 6%"] 42
[/td]
[td="width: 4%"] 0
[/td]
[td="width: 58%"] civ - 'f' hist - 'e' geo - 'd' kisw - 'e' engl - 'e' lit eng - 'e' bio - 'e' b/math - 'f'
[/td]

[td="width: 6%"] s0443/0217
[/td]
[td="width: 4%"] m
[/td]
[td="width: 6%"] 43
[/td]
[td="width: 4%"] 0
[/td]
[td="width: 58%"] civ - 'e' hist - 'e' geo - 'f' kisw - 'e' engl - 'd' lit eng - 'e' bio - 'f' b/math - 'f'
[/td]

[td="width: 6%"] s0443/0218
[/td]
[td="width: 4%"] m
[/td]
[td="width: 6%"] 42
[/td]
[td="width: 4%"] iv
[/td]
[td="width: 58%"] civ - 'e' hist - 'd' geo - 'f' kisw - 'e' engl - 'd' lit eng - 'e' bio - 'f' b/math - 'f'
[/td]

[td="width: 6%"] s0443/0246
[/td]
[td="width: 4%"] m
[/td]
[td="width: 6%"] 42
[/td]
[td="width: 4%"] iv
[/td]
[td="width: 58%"] civ - 'e' hist - 'f' geo - 'd' kisw - 'd' engl - 'e' lit eng - 'e' bio - 'f' b/math - 'f'
[/td]
 
hii ni shule moja, na labda wanafunzi hawa walkaa chumba kimoja,, kwenye matokeo hali wanaikuta hivi,

kwanini KAWAMBWA mbishi kujiuzuru........ ivi mwisho wa haya mateso lini
 
hii ni shule moja, na labda wanafunzi hawa walkaa chumba kimoja,, kwenye matokeo hali wanaikuta hivi,

kwanini KAWAMBWA mbishi kujiuzuru........ ivi mwisho wa haya mateso lini

Watu walisema Kawanbwa & Mulugo wapishe ila Kawambwa kagoma sasa nchi inazidi kuporomoka kielimu ila wao wanasema ufauru umepanda. Nani mjinga hapa?
 
Sijui kwa nini Kawambwa anang'ang'ania hicho kiti na sijui Ana agenda gani katika elimu yetu. Kila kukicha ni madudu tu kwenye sekta ya elimu. Angalia huo utumbo katika upangaji wa madaraja ya ufaulu yaani watu wana pointi za kufanana mmoja ana ziro mwingine IV. Kuna wenye PTs 41 amepata 0 wakati mwenye PTs 45 ana IV. Hivi hata hilo hawawezi kujua kuwa mwenye pointi chache ana ufaulu mzuri zaidi

Hivi Kawambwa ana nini cha kuwaeleza wadogo zetu waliofanya mtihani mwaka Jana Mtu akapata 50 akapewa C lakini aliyepata 50 mwaka huu ana B, je kwenye soko la ajira watapimwa vipi? Ni bora sasa uanzishwe utaratibu wa kuweka maksi kwenye vyeti badala ya grade

Kawambwa atuambie vigezo vipi vitatumika selection ya F5 kwa wanafunzi waliokuwa na C2 mwaka jana sasa wamepata C ya tatu mwaka huu?
 
ndugu naomba niondoe huo utata kama ifuatavyo,mwanafunzi anaweza kupata point 42 na akapata division 0 endapo katika masomo aliyofanya ameshindwa kupata japo C moja au kashindwa kupata japo D mbili kati ya masomo yote aliyofanyia mtihani.
 
tupe source ya hiyo taarifa tafadhali. Iwe certified.
Kinyume na hapo umetizama tu hiyo data yangu hapo,then waja na jibu la kijinga kabisa. Wewe ni janga jingne.
 
namlaumu sana kikwete kuleta ushkaji kwenye elimu ya taifa le2..kawambwa ashaharibu elimu ye2
 
Kawambwa na Kikwete wametoka mbali,kama sii kikwete Kawambwa asingepata ubunge
 
Kawambwa na Kikwete wametoka mbali,kama sii kikwete Kawambwa asingepata ubunge

Ni kweli Kawambwa asingeweza kupata hata uenyekiti wa Kitongoji maana ni mzito sana na ndiyo maana chama chake wanamwita mzigo
 
tupe source ya hiyo taarifa tafadhali. Iwe certified.
Kinyume na hapo umetizama tu hiyo data yangu hapo,then waja na jibu la kijinga kabisa. Wewe ni janga jingne.

Source ni mimi kwa kuwa nilikuwepo kwenye kazi ya usahihishaji wa mitihani ya form 4 mwaka jana na wataalamu wa NECTA tulipowauliza ndo wakatupa majibu hayo wakati tukiwa kwenye semina.
 
ndugu naomba niondoe huo utata kama ifuatavyo,mwanafunzi anaweza kupata point 42 na akapata division 0 endapo katika masomo aliyofanya ameshindwa kupata japo C moja au kashindwa kupata japo D mbili kati ya masomo yote aliyofanyia mtihani.

Na mwisho wa division four ni point ngapi, naomba ufafanuzi please!
 
Majanga kweli
mwingine ana iii 26
civ-c
hist-c
eng-c
kisw-b
geog-b
biol-c
chem-c
sasa hiyo iii 26 inatoka wapi?
 
tupe source ya hiyo taarifa tafadhali. Iwe certified.
Kinyume na hapo umetizama tu hiyo data yangu hapo,then waja na jibu la kijinga kabisa. Wewe ni janga jingne.

kwa kuongezea,ina maana application ya grading inakuwa haitumiki tena?au
 
Wamefaulu jamani, kiwango cha ufaulu kimeongezeka.. wenyewe wanashake hands, mipango yao imefanikiwa.. sasa kazi kwenye kwenda kuomba kazi nchi jirani... kurudia tena mwaka wa masomo ili ufikie kiwango cha elimu yao
 
wanasema mwisho wa ubaya aibu na mwisho wa kawambwa itakuwa aibu kuu
 
Ukicheki hapo kuna mtu ana point 42 kapata 4 ni kwasababu ana d mbili na mwingine ana hizo hizo ila kapata 0 kwa sababu hana d zaidi ya moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…