Naomba mtu yeyote anaejua jinsi ya kutengeneza Mifuko ya Viroba

Naomba mtu yeyote anaejua jinsi ya kutengeneza Mifuko ya Viroba

Agustini

Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
14
Reaction score
2
Naomba msaada jinsi ya kutengeneza mifuko ya viroba na nitawezaje kupata mashine ya kutengenezea naomba mawazo yenu
viroba kama cha sembe
 
Yaani nilikuwa nafungua uzi huu huku nikimwomba roho wa Mungu aniongoze nisikutukane tusi kuu ! nilijua unataka kuuza viriba vya Gongo!
Naomba msaada jinsi ya kutengeneza mifuko ya viroba na nitawezaje kupata mashine ya kutengenezea naomba mawazo yenu
viroba kama cha sembe
 
Back
Top Bottom