Agustini Member Joined Mar 9, 2014 Posts 14 Reaction score 2 Mar 12, 2015 #1 Naomba msaada jinsi ya kutengeneza mifuko ya viroba na nitawezaje kupata mashine ya kutengenezea naomba mawazo yenu viroba kama cha sembe
Naomba msaada jinsi ya kutengeneza mifuko ya viroba na nitawezaje kupata mashine ya kutengenezea naomba mawazo yenu viroba kama cha sembe
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 7,828 Reaction score 10,527 Mar 12, 2015 #2 Yaani nilikuwa nafungua uzi huu huku nikimwomba roho wa Mungu aniongoze nisikutukane tusi kuu ! nilijua unataka kuuza viriba vya Gongo! Agustini said: Naomba msaada jinsi ya kutengeneza mifuko ya viroba na nitawezaje kupata mashine ya kutengenezea naomba mawazo yenu viroba kama cha sembe Click to expand...
Yaani nilikuwa nafungua uzi huu huku nikimwomba roho wa Mungu aniongoze nisikutukane tusi kuu ! nilijua unataka kuuza viriba vya Gongo! Agustini said: Naomba msaada jinsi ya kutengeneza mifuko ya viroba na nitawezaje kupata mashine ya kutengenezea naomba mawazo yenu viroba kama cha sembe Click to expand...