naomba mtupostie wimbo wa "WARAKA" wa bahati bukuku

naomba mtupostie wimbo wa "WARAKA" wa bahati bukuku

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,508
Reaction score
220
habari waungwana.

nimeburudika sana na wimbo wa "baba paroko" uliopostiwa hapa na mwanJF mmoja japo si mimi niliyeuomba.

kusema kweli kwa mwaka uliopita 2009 kwa bongo hakuna wimbo uliovuma zaidi wa "waraka" nauzimikia sana wandugu. nimejaribu kutafiuta sana kwenye net yaani, you tube na mitandao mingine na blog mbalimbali sijaona.

kama kuna mtu anajua site ninayoweza kuupata, naomba atubandikie hapa sie tulio mbali na bongo tusuuuze nyoyo zetu.

".................ujue umechaguliwa esta, kwa wakati huu, hakuna wakati mwinginee, waweza kutuokoa, ujue umechaguliwa kuwa malikia kwa wakati huu....................."

thanks wakubwa in advance

mbarikiwe
 
mheshimiwa kwetunikwetu, upo?

saa hizi na-enjoy baba paroko. angalia angalia basi na waraka mzee.
 
Back
Top Bottom