Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
wapi kazi zimesimama mkuu?Inakera sana tena sana, sasa hivi kila mwananchi anakosa huduma za msingi, kisa tu uchaguzi na kampeni .
Ukienda kwa wakuu wa Wiaya, Wakurugenzi na hata watumishi wa afya watakuambia wapo bize na shughuli za serikali.
Swali la msingi je serikali imesimama kufanya kazi kisa tu uchaguzi na kampeni? Mbona tunanyanyasika kwa uchaguzi ambao hata matokeo yaliyashapangwa?
Tanzania nzima, unajifanya hujui?wapi kazi zimesimama mkuu?
Kero tupuKUNA HAJA YA WATU KAMA MUSIBA KUPIMWA AKILI HII SASA SIO SIASA NI SHAMBULIO BINAFSI
MUSIBA ANAKUAMBIA JOGOO WA TUNDU LISSU HAWIKI😀😀😀Kero tupu
Alimpa matako? Au anamuonea wivu Alicia?MUSIBA ANAKUAMBIA JOGOO WA TUNDU LISSU HAWIKI[emoji3][emoji3][emoji3]
Labda alitaka kumuingizia ub.oo matakoni ikashindikanaMUSIBA ANAKUAMBIA JOGOO WA TUNDU LISSU HAWIKI😀😀😀
Mkuu siipendi CCM lakini kwa hili hapana, sijaona sehemu shughuli zimesimamaTanzania nzima, unajifanya hujui?
Hujaenda ofisi za Halmashauri.Mkuu siipendi CCM lakini kwa hili hapana, sijaona sehemu shughuli zimesimama
KabisaBaada ya uchaguzi ndio shughuli inaanza,
Hii nchi haitakaa iwe kama ilivyokuwa kabla ya uchaguzi bila kujalisha atakayeshinda uchaguzi.