Naomba munikaribishe mgeni

Naomba munikaribishe mgeni

Masapy

Member
Joined
Apr 2, 2018
Posts
44
Reaction score
30
Asalam asylum, ndugu na marafiki ndio naingia kwa awamu ya kwanza kabisa naomba kufahamishwa kanuni na taratibu za humu ndani ahsantebi.
 
Asalam asylum, ndugu na marafiki ndio naingia kwa awamu ya kwanza kabisa naomba kufahamishwa kanuni na taratibu za humu ndani ahsantebi.
1. Tuma picha yako.
2. Taja majina yako halisi
3. Unaishi wapi.
4. We ni CCM au CHADEMA.
5. We ni mtanganyika au mzanzibar.
6. Neno mkuu ndio heshima ya JF.
7. PM ndio heshima ya humu.

Anza na hayo kwanza.
 
Tafadhali... we ni he/she?

Kama ni she hakikisha unakuja kwa babu kukaguliwa...

Kama ni he... pambana na hali yako
 
Wewe mgeni mbona ume kimbia rudi hapa tukukarishe.
 
sharti kuu , hasira peleka kwenu, lower your expectations ukiandika uzi ukachuniwa usipanic, ipo siku utaandika uzi wa kijinga utapata likes kibao, huku viongozi wana majina yao maalumu ukiwataja openly shauri yako labda uwe unaishi US, kama mtu humjui jina mwite , muugwana, wanabodi, mkuu, au wakuuu, nifupi JF ni kama genge la walozi, maana humu kuna waabudu mashetani, wachamungu, wenye akili , punguani, wazee wa chubwi chubwi , ni wewe tu ukijitoa fahamu tutakutia adabu pia
 
1. Tuma picha yako.
2. Taja majina yako halisi
3. Unaishi wapi.
4. We ni CCM au CHADEMA.
5. We ni mtanganyika au mzanzibar.
6. Neno mkuu ndio heshima ya JF.
7. PM ndio heshima ya humu.

Anza na hayo kwanza.
Mkuu picha yangu ndio hiyo hapo juu, majina angalia kwenye Google account,ni muyao wa kwanza kuwa wa JF pia Sina chama na sio mwanasiasa.
 
Back
Top Bottom