KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Habari zenu wakuu,
Nina mdogo wangu kamaliza form six mwaka huu (PCB)na kapata division two ya 11. Ameomba degree DOCTOR OF MEDICINE hapa nchini amekosa, Kwa sasa familia tumeamua akasome nje ya Nchi. Naomba kujua yafuatayo kwa wale wazoefu:
Ni chuo gani Rwanda kinatoa degree bora ya udaktari?
Vigezo vyao vipoje hasa kwenye issue ya kubadili matokeo?
Asanten sana.