Asante sana mkuu.Hyo NOC certificate ikipatikana ndo unaruhusiwa kuomba chuo?Kama anasifa za kusoma udaktari kwa hapa bongo, ahakikishe anapata NOC certificate pale TCU. Akijiendea tu kusoma nje ilihali hana sifa atajuta.
Kwa upande wa matokeo, matokeo yatabaki villevile tu. Ukimaliza degree yako utapewa certificate of recognition kutambua degree yako ikiwa na matokeo hayohayo tu ulioyapata
Asante sana mkuu.Hyo NOC certificate ikipatikana ndo unaruhusiwa kuomba chuo?
Asante mkuuMkuu NOC maana yake "No Objection Certificate" kwamba ulikotoka hakuna pingamizi la wewe kusoma kozi husika, sifa unazo.
hiyo unafanya ukiwa na chuo chako tayari, cha msingi ni kuhakikisha tu kwamba una sifa za kusoma kozi husika kadiri ya tcu guidebook na chuo unachoenda Tcu wanakitambua. ili kuepuka usumbufu wa Noc yako kukataliwa.
Sina namba zake aisee!Mkuu tunawezaje kupata no yake?
Ana matokeo gani?Md sijui ina nn kwa sahz ina nn....dogo lang had kampala tulipokua tunap
adharau kakosa[emoji28][emoji28]
Nenda KIU waambie wakupe namba za aliyekuwa Dean of Facaulty of medicine anaitwa Dr.OgahSawa boss
Diploma c.o ...3.5 gpaAna matokeo gani?
Sifa anayo sema compitition ya kupata chuo ndo imemgharimu. Siku hizi madogo wanafahuru sana form six maana wanaletewa maswali ya form two plus standardization.Kama anasifa za kusoma udaktari kwa hapa bongo, ahakikishe anapata NOC certificate pale TCU. Akijiendea tu kusoma nje ilihali hana sifa atajuta.
Kwa upande wa matokeo, matokeo yatabaki villevile tu. Ukimaliza degree yako utapewa certificate of recognition kutambua degree yako ikiwa na matokeo hayohayo tu ulioyapata
[emoji2][emoji3][emoji3][emoji3] lakini si bado second na third round zinakuja? Madogo wanafahuru sana, mitihani ni miepesi sana. Ukiona dogo anapata div.two ta siku hizi ni sawa na div.four ya kuanzia miaka ya 2011 kushuka chini.Md sijui ina nn kwa sahz ina nn....dogo lang had kampala tulipokua tunap
adharau kakosa[emoji28][emoji28]