mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Sawa mkuuKatavi,songea,Lindi ndio unaweza pata maeneo bila shida Huwa naona wasukuma wapi katikati ya misitu ya tabora na kigoma sina hakika mikoa hio kama Yale mapori ni ruksa.Katavi ni uhakika bado kuna ardhi kule.
Mkuu katavi unakatiwa na kijiji ili mradi unango'mbe unachangia 50000 kwa heka 100Sawa mkuu
Hizo hekari zinaweza kunicost kiasi gani?
Gharama kwa mkoa wa Ruvuma zinaendaje kwa hekari kama 600 au hata 3000?Uko wapi
Na ungependa upate Mkoa gani.
Mikoa yenye ardhi ya kutosha ni pamoja na Pwani na Ruvuma.
Karibu kwa maswali zaidi.
Songea walikuwa wanatangaza mashamba kwa ajili ya wawekezaji wa korosho mahindi,mitiki.Nilisikia redio za mbeya na namba zao nilinakili ukizihiaji ntakutumua uwasiliane nao, wanadai wanaheka nyingi sana Ila being hawakutaja.
Vile vile Songwe kuna maeneo kuna mtu nilikutana nae alikuwa anaekekeo huko, namba yake sikuchukua kwa sababu sikuwa interest sana na huko.
Anatoa lita nneHivi ng'ombe wa kienyeji akitunzwa vizuri anatoa maziwa lita ngapi kwa siku
PeaceAnatoa lita nne
Kwamba huku hatuhitaji ardhi?.Katavi, Songea,Lindi ndio unaweza pata maeneo bila shida Huwa naona wasukuma wapi katikati ya misitu ya tabora na Kigoma sina hakika mikoa hio kama Yale mapori ni ruksa.Katavi ni uhakika bado kuna ardhi kule.
Mmhhh!!!!,sidhani,Mkuu katavi unakatiwa na kijiji ili mradi unango'mbe unachangia 50000 kwa heka 100