kadyuwegeyeson
Member
- Jul 19, 2018
- 35
- 48
Nenda tu kawajazie mafaili lakini, pesa ya kukulipa hawana. Kazi yao ni kudanganya tu watu.Habari wadau ninataka kwenda kufungua madai nssf ya kuachishwa kazi
Je inatakiwa nienda nA nini na nini ambayo vinaambatanishwa nA form yangu ya madai maana ninafungua safari kwenda Ofisi za nssf
Kwanza ulikua kibalua au kazi rasmi?Habari wadau ninataka kwenda kufungua madai nssf ya kuachishwa kazi
Je inatakiwa nienda nA nini na nini ambayo vinaambatanishwa nA form yangu ya madai maana ninafungua safari kwenda Ofisi za nssf
Ya kweli hayo.Nenda tu kawajazie mafaili lakini, pesa ya kukulipa hawana. Kazi yao ni kudanganya tu watu.
Nasikia kuna urasimu sanaNenda na barua ya kuachishwa kazi pamoja na barua ya utambulisho au copy ya mkataba
Watakwambia ulete na certificate of service
Kazi rasmiKwanza ulikua kibalua au kazi rasmi?
Vipi kwa mtu ambaye mkataba wake ulikoma na haku-renew inatakiwa aende na nini?Nenda na barua ya kuachishwa kazi pamoja na barua ya utambulisho au copy ya mkataba
Watakwambia ulete na certificate of service
Mwambie mwajir akuandikie barua ya kutokuendelea kukuongeza mkatakaba mwingine kisha utaenda na nakala ya barua pamoja na nakala ya mkataba ulioishaVipi kwa mtu ambaye mkataba wake ulikoma na haku-renew inatakiwa aende na nini?
Mkataba wenyewe uliisha mwaka jana mwezi wa nane. Nataka nikafuatilie naona nimeanza kufuliaMwambie mwajir akuandikie barua ya kutokuendelea kukuongeza mkatakaba mwingine kisha utaenda na nakala ya barua pamoja na nakala ya mkataba ulioisha