Naomba muongozo kuhusu huduma ya E-Wallet

Joined
Jun 27, 2016
Posts
30
Reaction score
81
Naomba msaada kwa wenye uelewa na e wallet je kuna bank yoyote hapa tanzania inayotoa huduma za e wallet?
 
Me Natumia Barclays Bank kwa Simu yangu unabofya namba Saba baada ya kiweka pass na kuingia menu kuu
 
Me Natumia Barclays Bank kwa Simu yangu unabofya namba Saba baada ya kiweka pass na kuingia menu kuu
Kwahiyo nikiwa na Barclays bank naweza kuhamisha kutoka E wallet mpaka kwenye akaunti yangu ya Barclays?
 
Kwahiyo nikiwa na Barclays bank naweza kuhamisha kutoka E wallet mpaka kwenye akaunti yangu ya Barclays?
Yap kila kitu kinafanyika iwe kununua vocha,Kumnunulia mtu kitu,Kumtumia pesa kwa bank yake au simu n.k pia kuhamisha pesa from one account to another Account iwe ya bank yako kwenda bank nyingine yaani Mwake mwake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…