mtu mwembamba
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 342
- 422
Habarini za majukumu wakuu? Poleni na kazi za ujenzi wa taifa.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye point,
Nina msichana toka huko Tanga kwa wasambaa, sasa nahitaji kufanya nae uchumba naomba kufahamishwa taratibu za kufuata ili niweze mchumbia.
Kwa wale wenye kuelewa taratibu na mila za huko naombeni msaada wa maoni,
Natanguliza shukrani kwa maoni yenu mtakayonipa.