mtu mwembamba
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 342
- 422
Watakuja mkuu, hongera na karibu ndoani ndgu mtu mwembamba
Umeomba utaratibu wa posa ila kuna njitu zitakurupuka huko kama imetoka kula daku kuelezea tabia.
Umeomba utaratibu wa posa ila kuna njitu zitakurupuka huko kama imetoka kula daku kuelezea tabia.
Wana kuja mkuu ila hongeraaa wasambaaa ni wakarimu sanaWakuu Ina maana humu jf hakuna aliewahi kuoa huko
Achana na mila na desturi wewe nenda kiimani zaidi. Kwani hamuamini katika dini yoyote au ukweni kwako ni wapagani? Kama sharti ni kuwanunulia mtungi wa pombe siku ya kuchumbia na wewe ni muumini safi utaghairi zoezi?
Mkuu nilituma wazee wakaenda wakazungumza nao, nikalipa fine maana alikuwa na ujauzito kisha posa na mahari nikachukua jiko langu sijutii kuoa huko nimepata mke anayenichukulia kama mtoto wake nikosapo.Mrejesho
Hongera sana mkuuMk
Mkuu nilituma wazee wakaenda wakazungumza nao, nikalipa fine maana alikuwa na ujauzito kisha posa na mahari nikachukua jiko langu sijutii kuoa huko nimepata mke anayenichukulia kama mtoto wake nikosapo.
Nilifunga ndoa 2019 May so hadi mwaka huu tuna miaka mitano ya ndoa tukiwa na watoto wawili