Naomba muongozo nataka kwenda China

kinjumbi one

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
1,695
Reaction score
2,144
Naomba muongozo nataka kwenda china kuchukua mzigo wa Jeans, bajeti yangu nina million 5 tu. Ntafaanikiwa? kwa wenye uzoefu naomba msaada wenu Tafadhali.
 
Naomba muongozo, nataka kwenda china kufuata jeans. Nina bajeti ya million 5 Je nitafaanikiwa? Kwa wenye uzoefu naomba msaada wenu Tafadhali.
 
Ingia Google angalia nauli za ndege si chini ya million 2.nauli,kula,hotel,Visa.
Jean's ukitaka upate kwa bei cheee lazima ununue kuanzia peace 100 kwa kila sample.
Hiyo pesa ni nyingi mkuu lakini haitoshi,mtafute mtu aliye china muagize mzigo,au nenda kariakoo kwa wale wafanya biashara wanaoenda china ongea naye vizuri mpe sample unazozitaka atakuletea.
Ikifikia 10 na kuendelea uanze kwenda mwenyewe
 
Umemjibu vzr sna.chakuongeaze..m5 sawa dola 2500 aitoshi kufanya chchte.
 
Umemjibu vzr sna.chakuongeaze..m5 sawa dola 2500 aitoshi kufanya chchte.

Kweli atengeneze platform aanze kuuza online huku anakuza mtaji..
Hizo jeans utaziuzia wapi !? Aje kujibu kama ana ofisi tayari
 
Naomba muongozo, nataka kwenda china kufuata jeans. Nina bajeti ya million 5 Je nitafaanikiwa? Kwa wenye uzoefu naomba msaada wenu Tafadhali.
Eeeehh baada ya uzi ukaamua ukamatie nafasi
 
Kweli atengeneze platform aanze kuuza online huku anakuza mtaji..
Hizo jeans utaziuzia wapi !? Aje kujibu kama ana ofisi tayari
nashukuru, kuhusu kuuzia wapi tayari nina duka mkoa, kwa mwezi huwa nauza si chini ya PC 70, kwa ujumla nikichanganya na T-shirt na pullover huwa nauza si chini ya PC 200 kwa mwezi.
 
Asante mkuu.
 
Umeonesha mwanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…