Ok nashkur kwa muongozo mkuu,Dah gari mzuri aisee i think kama bei ya beforward ni 3M zidisha mala mbili so itakuwa kama 6M plus extra 2M so total andaa kama 10M hivi roughly
Huwa inachukua siku 35 maximum approx.Ok nashkur kwa muongozo mkuu,
Hivi kwa makadirio huchkua mda gar tangu kuagiza na mpaka gari kuingia bandarini?
Tafuta mtu umvue, kama wataka save fedha na muda.. Kuna watu wamefuaShukran
Shukran mkuu kwa muongozo
Bei mpaka bandarini ni milion 5 , so awe na jumla ya walau milion 10Dah gari mzuri aisee i think kama bei ya beforward ni 3M zidisha mala mbili so itakuwa kama 6M plus extra 2M so total andaa kama 10M hivi roughly
Sawa mkuu ndo napima kujua gharama za kuagiza mwenyewe japan alaf nilinganishe na gharama ya kumvua mtu ili nione wapi ni nafuuTafuta mtu umvue, kama wataka save fedha na muda.. Kuna watu wamefua
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupata chiefBei mpaka bandarini ni milion 5 , so awe na jumla ya walau milion 10
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei mpaka bandarini ni milion 5 , so awe na jumla ya walau milion 10
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bei ya hilo gari ni 6.5M na sio 3M.Salaam wakuu, kwa wazoefu wa kuagiza magari nje naomba kujua hii gari hapa chini mpaka naikamata mkononi niandae kiasi gani? Nikimaanisha naomba gharama zote ambazo natakiwa kuzufahamu.
Gari yenyewe iko hii hapa: Used 2009 SUBARU IMPREZA/DBA-GH7 for Sale BG810429 - BE FORWARD
Nashkur kwa muongozo mkuu umenipa mwangaMkuu bei ya hilo gari ni 6.5M na sio 3M.
Bei za magari tunazoziangalia mitandaoni ni CIF na sio FOB.
Beforward ni exporters hawawezi hata siku moja wakakuuzia gari alafu uliexport mwenyewe.
Kwa hiyo kuna
1. CIF : 6.5M
2. TRA: 6M
3. Port: <0.5M
4. Insurance: 3.5% (comprehensive)
Total: 13M + 0.45M (kama utakata comprehensive)
Na pia kumbuka 6.5M ni bei ya kuanzia.
Kama vile unavyonunua nguo kariakoo, kama unataka unaweza kubargain bei ikashuka.
Miezi miwili iliyojaa,hadi mkononiOk nashkur kwa muongozo mkuu,
Hivi kwa makadirio huchkua mda gar tangu kuagiza na mpaka gari kuingia bandarini?
Kuwa makini wengine wanakudanganya humu, ila huyo jamaa kakwambia ukweli, na kuhusu muda wa kufika bandarini siku 35 ni chache kuna process ndefu sana ila humu kuna uzi unaeleza vizuri sana kuhusu muda na kodi mbalimbali.Ukilipa hela bank inaweza kuchukua siku 2 hadi 5 kupata confirmation,kuna mambo ya bahari kuchafuka meli ikasimama, kuna meli kufika ikakosa nafasi ya kushusha mzigo haraka ikalazimika kukaa nje ya bandari siku 4 hadi 5 na hiyo ni kwa Mombasa na Dar au bandari nyingine meli itakakoanziaNashkur kwa muongozo mkuu umenipa mwanga
Ingia hapaSalaam wakuu, kwa wazoefu wa kuagiza magari nje naomba kujua hii gari hapa chini mpaka naikamata mkononi niandae kiasi gani? Nikimaanisha naomba gharama zote ambazo natakiwa kuzufahamu.
Gari yenyewe iko hii hapa: Used 2009 SUBARU IMPREZA/DBA-GH7 for Sale BG810429 - BE FORWARD