Yenga08
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 458
- 894
Habari zenu wana jamvi,
Naamini kabisa wapo wanajanvi waofanya biashara ya dhahabu, wananunua na kwenda kuuza Nje ya Nchi yetu ya Tanzania.
Napenda sana kufanya hii biashara ila tatizo nikukosa muongozo, maana unataka kuanza ila unakosa pakuanzia. Ni kiasi gani unaweza kuanza nacho., 1kg, 2kg au gram kadhaa.
Wanajanvi wanaofanya hii biashara naomba muongozo ili panapo majaaliwa nami nianze hii harakati.
Ahsanteni sana masee.