Naomba muongozo wa kufanya biashara ya nguo,🎽Viatu n.k vya mitumba kwa kuniambia ni store zipi naweza kwenda kuchuwa mzigo na cost ni shingapi kwa kila baloo, mtaji wa kuanzia unahitajika kama shingapi na changamoto za biashara hii
Balo la nguo mengi huanza kuanzia 380,000 mpaka 480,000 au 520,000 inategemea na ulipo, mzigo unabeba pisi 100 hadi 250 kwa balo.
Mtaji uwe tu na hiyo 500,000 kwa balo. Uzia hata chumbani. Mambo yataenda.