Naomba muongozo wa kujiunga na VETA kwa kozi fupi ya miezi mitatu

Naomba muongozo wa kujiunga na VETA kwa kozi fupi ya miezi mitatu

kachy

Senior Member
Joined
Jul 11, 2021
Posts
138
Reaction score
69
Habari wana JF,

Nilikua naomba nipate mwongizo nataka kujiunga VETA koz fup miez 3 ya ICT mwaka huu nahitaji mawasiliano nao veta DSM au mwenye kua na habari wanaanza lin na bei anifahamishe nitashukuru.
 
Habari wana JF nilikua naomba nipate mwongizo nataka kujiunga veta koz fup miez 3 ya ICT mwaka huu nahitaji mawasiliano nao Veta DSM au mwenye kua na habari wanaanza lin na bei anifahamishe ntashukuru
 
ICT veta? Ndo uje uwe programmer utusumbue[emoji23]. Nenda kasome udeleva pale NIT.
 
Nakushauri uwende pale veta ya kipawa ndio kuna hayo mambo ya it na ict utayakuta
 
Habari wana JF nilikua naomba nipate mwongizo nataka kujiunga veta koz fup miez 3 ya ICT mwaka huu nahitaji mawasiliano nao Veta DSM au mwenye kua na habari wanaanza lin na bei anifahamishe ntashukuru
Miezi 3 ? Labda sita kupitia www.tzcodeacademy.com kwa nchi za East Africa
 
Back
Top Bottom