Msaada nawezaje kununua gari online kutoka Japan ikanifikia Tanzania? Je, ni njia salama? Naweza kufanikiwa? Kwa maana naona gari mtandaoni ni gharama ndogo sana ukilinganisha na zinavyouzwa kwenye showroom zetu hapa bongo!

Hiyo gharama unayoiona hapo mtandaoni ni bila kodi tafuta gari unayoitaka then ingia TRA calculator kujua kodi yake. Usione PASSO kali inauzwa Usd 1200 Beforward ukajua ukilipia hiyo umemaliza kila kitu hiyo ni bei ya kuifikisha gar dsm port tu.